"Money is not real" na jinsi ya kutengenza hela kutoka hewani

Sijakuelewa hapa, hivi kuna groups za whatsapp zinazolipiwa?
 
Umesema vizuri ila hiyo story ya muuza ndizi sijaelewa konekshen yake na mada yako!
 
Umesema vizuri ila hiyo story ya muuza ndizi sijaelewa konekshen yake na mada yako!
Rudia kusoma huku ukifikiria pia
 
Umenkumbusha mafundisho yaliyopo kwenye vitabu vya Robert Kiyosaki hasa kitabu kiitwacho cashflow quadrants. Kuna definition inasema money is anything you want it to be. Ila frankly speaking nimefuatilia masomo yako yote manne, nimejifunza sana. Na umetoa mifano halisi yako mwenyewe. Asante sana kwa kushare skills, knowledge & experience.
 
mabank ya kwetu walikuwa wazembe kueneza huduma ya kulipa na kununua kwa kadi makampuni ya simu yalivyoleta huduma ya pesa kwa simu mabank yakapotezwa. Nina uhakika Leo hii mpesa inapiga faida zaidi ya bank nyingi kubwa humu nchini
 
Its digital era....yeah e-payment ndio kila kitu, usisahau pia serikali ina push kwa epayment kwasababu ya kodi, transactions ziko wazi hivyo ni rahisi kufuatilia ulilaji wa kodi. India juzi wamefuta noti kubwa na kuzibadilisha kwasababu ya kulibga dirty cash money watu wengi wanafanya biashara ya cash na hawalipi kodi utajiri upo nyumbani kwenye maboksi. Wengi wanahaha kurudisha bank lazima ujieleze umepataje hiyo pesa, wameishia kununua gold and valued items. Kibongo bongo bado tupo katika early stage lakini kama ulivyosema this is the future.
 
It's more applicable if unafanya na nchi zinazoendelea.. Huku kwetu mifuko hiyo bado, acha tuendelee kukusanya makaratasi. Pia usidharau makaratasi eti huwezi Tajirika. Hiyo Dhana mbovu..
 
Duh we jamaa ni kichwa aisee mtiririko wa mada zako zote ni barabara , pja nimependa yoj are. ot selfish keep insliring,keep mooving and keep the good work
 
Najua tatizo Mwamko bado both Wateja na wafanyabiashara unaenda Karikoo kununua nguo au vifaa vya umeme au hardware kwa unawauliza munapokea Card wanakwambia Noo hatupokei tunataka Cash yani hapo inakubid utembee na hela nyingi
Ndio
 
Umesema vizuri ila hiyo story ya muuza ndizi sijaelewa konekshen yake na mada yako!
Anamaanisha muuza ndizi aliangalia karatasi iliyochakaa yenye thamani ya shilingi miatano, na hakuangalia kuwa miatano ni thamani ya bei ambayo inaweza isiwe katika umbo la karatasi ya Noti au Coin
mfano, unapomlipa mtu kwa kutumia tigo pesa hutumii Noti wala Coin ila unatumia thamani ya bei unayolipa (value) ambayo muuza ndizi hakuiangalia.
 
Yah imagine unanunua mzigo wa 3 millions unze kuhesabu Noti hizo pembeni mtu anakuchora anasubir utoke dukani akakupore kwenye foleni au wakat ukienda kulipia gar mzigo upakiwe
aiseee nilikwenda bureau ml.city baada ya kuchenji dola nikawa kama na ml.5 yaani mazingira ya pale hayako salama kabisaa kwa mteja ..yaani unaanza kuhesabu pesa...majitu kibao yamejazana " wangekuwa wanafnya vyema mnoo kutengeneza kijichumba maalumu ili mtu Mwenye pesa nyingi kiasi awe anajifcha huko nakuhesabu pesa zake pasipo wasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…