Money penny,demiss na Jonah nawazimia mbaya ile!!!!!

Wewe unatuzimia ila wale ambao walituzimia tukawapotezea naona wanahangaika kutuponda kwenye comment hahahahah mafisi kazini.

Ubarikiwe
Mi nimetoa duku duku moyo mweupe siwezi kukaa na neno!!!!
 
Ngoja wakupige virungu alafu uje tena useme umewapenda kwa asilimia ngapi
 
Wanaume atuogopi virungu wavulana ndio wanaogopa maana kuzisaka awajui mamazao wanaomba matumizi kwa baba zao na wao pia.
 
Hahahahahaha,,,, sasa wote umewazimia vp utawaweza kweli au mambo ya vumbi la kongo

Back
Top Bottom