Mimi ulinipotezea ila bado nakuzimia[emoji4]Wewe unatuzimia ila wale ambao walituzimia tukawapotezea naona wanahangaika kutuponda kwenye comment hahahahah mafisi kazini.
Ubarikiwe
Mimi ulinipotezea ila bado nakuzimia[emoji4]
Mi nimetoa duku duku moyo mweupe siwezi kukaa na neno!!!!
Wanaume atuogopi virungu wavulana ndio wanaogopa maana kuzisaka awajui mamazao wanaomba matumizi kwa baba zao na wao pia.
Kwani? Wew umeelewaje?
Umeona enheee!!!
Fresh kiroho safi ujakosea mkuu
Uzi tayar