Money talks kwa kweli

Money talks kwa kweli

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Jamani najua kuna Corona but nilitolewa out mahali na kazi yangu ni umbea.

Sasa tulikuwa tumekaa angle ambayo kila mtu anaingia unawaona. Sasa hata mtu akipanda ana kushuka kwenye gari tunaona. Sasa akaja mkijana na demu wake na toyo wako mshikaki wakaja wakashuka wakaagiza chakula na vinywaji.
Ila sio vinyaji kivile nikawaida sana na chakula chao.

Ila siku zote watu na viatu akaja mdada na mkaka wanagari yao mzuri tu kijana anamashauzi akamwambia huyo dada ladies first order unachotaka sasa angapi huyo dada akaanza kunfanya kufuru mara saani limeja mazagazaga kibao kabisa.

Kidogo yule dada wa yule kaka waliokuja na toyo akaona wivu na kweli mpenzi wake hana hela ya kuorder anachotaka kwahiyo akabaki tu anaona geree

Kweli kila mwanamke angeona geree mwenzio anajaliwa kwa milo yenye afya tena tani yake.

Kidogo bwana mtu akamzawadia mkewe gari mpya ili wasishee wote kisa corona ka passo katamu kweli yaani.
Watu wakashangaa corona hii gari mpya mtu anahela katoa wapi basi yule dada alifurahi hadi akalia.

Yule dada wa toyo yuko babe twende nimetosheka. Tutakuja siku ingine. Ila ni wivu ilimtoa hapo tu.

Hela ndio kitu kikubwa kinaunganisha watu wawili. Sio unaenda outing unakula karanga na soda ya buku jitoe eti eh kwa moyo.
 
Ukiishi maisha ya wengine kama huna hela utateseka sana.

Kikubwa ni kuishi maisha yako na kukubaliana na hali uliyonayo huku ukitembea na mipango madhubuti ya kuboresha kipato chako.
 
Unique Flower, wee kila anayekugonga ni bonge la tajiri? Kama ndio, hao matajiri unawapata wapi kwenye nchi fukara Kama hii ambayo inashika nafasi ya nne kwa watu wake kukosa furaha duniani?
 
Back
Top Bottom