Money

Sky sikuizi naona unashusha nondo tu!! Nakusoma!!
 
I wish money could be like body weight. Easy to gain but hard to lose.
Body weight kazi kuloose kama ukiwa na flow nzuri ya money ila mirija ya fedha ikikata ndani ya mwezi unapukutika bila gym wala kushindia matunda,automatically unakuwa model πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Body weight kazi kuloose kama ukiwa na flow nzuri ya money ila mirija ya fedha ikikata ndani ya mwezi unapukutika bila gym wala kushindia matunda,automatically unakuwa model πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu yale mawazo ya mlo wa pili nitaupata wapi yanaumiza sana ubongo na kuyeyusha mafuta kabisa.
 
Last edited:
What about those who never gain weight?

Dah.

Would they be church mice forever?😱😱

lol
 
Kwikwikwiiii... Kasie wangu mimi mwenyewe...

Jiandae wikiendi ijayo utakuwa wajibu wangu kukuhudumia,

Vinywaji na vyakula vyote, vya mchan na usiku...

Ofa kabambe toka kwa big braza Sam orijinale...

Jiandae....

Hahahahhahaaaa babuu leo zamu yangu, umefurahiii.
Huwa unaangalia tamthilia ya Sultan?
Basi mie naitwa Kasie Sultana...

Naisubiri kwa hamu wikiendi ijayo ifike, yajayo yatuburudishe....

Big Sam Orijinale Mwenyewee.
 
Mkuu yake mawazo ya mlo wa pili nitaupata wapi yanaumiza sana ubongo na kuyeyusha mafuta kabisa.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ noma,we angalia maboss wengi wakati wakiwa na kazi wanafanya mazoezi lakini hawapungui,siku akitumbuliwa ndani ya mwezi tu anakua model......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…