wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Wakwe na masheji cabinet!😢Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa Mhe. John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Mhe . Gambo ambaye Kwa kweli ameonekana kupoteza mvuto mbele ya jamii ya watu wa Arusha Jiji.
Lakini utabiri unaonesha kwamba badae Mongella atateuliwa kuwa waziri wa OR-TAMiSemi huku Mhe. Mchengerwa akipewa wizara ya ulinzi ambayo ni nyeti zaidi kutokana na ukaribu na umuhimu wake Kwa serikali ya awamu ya Mhe. Samia.
Period.
Hivi ccm haina watu wengine ? kwa mfano wewe mwenyewe hutaki kuwa Mbunge ?Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa Mhe. John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Mhe . Gambo ambaye Kwa kweli ameonekana kupoteza mvuto mbele ya jamii ya watu wa Arusha Jiji.
Lakini utabiri unaonesha kwamba badae Mongella atateuliwa kuwa waziri wa OR-TAMiSemi huku Mhe. Mchengerwa akipewa wizara ya ulinzi ambayo ni nyeti zaidi kutokana na ukaribu na umuhimu wake Kwa serikali ya awamu ya Mhe. Samia.
Period.
Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Gambo ambaye Kwa kweli ameonekana kupoteza mvuto mbele ya jamii ya watu wa Arusha Jiji.
Lakini utabiri unaonesha kwamba badae Mongella atateuliwa kuwa waziri wa OR-TAMiSemi huku Mhe. Mchengerwa akipewa wizara ya ulinzi ambayo ni nyeti zaidi kutokana na ukaribu na umuhimu wake Kwa serikali ya awamu ya Mhe. Samia.
Period.
Kwa hiyo mnataka arusha wagombee wachagga? Wao pia siyo kwao hapo. Wasukuma na wajita wamejaa tele, Wadigo ndo usiseme. Kila mtu ana haki kugombea muhimu awe anaishi hapo.Tatizo mnaleta watu wa Arusha ambao hawajui hata utamaduni. Hawa wasukuma hawajawahi kukaa Arusha sehemu yenye utamaduni wa biashara hawawezi kuendana na watu hawa machawa