Hamduni
Senior Member
- Apr 25, 2020
- 172
- 118
Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara ndg. John Mongella amewataka wanachama wote wa CCM washiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora watakao kuwa watatuzi sahihi wa shida zao na sio kujinufanisha binafsi, sambamba na hilo alipata wasaa wa kuwasihi umuhim wa kuwachangua wagombea watokanao na chama cha mapinduzi.
Soma Pia:
Soma Pia:
- Mongela: Tunaingia kwenye uchaguzi na uhakika wa ushindi
- Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024