M matunge JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 442 Reaction score 426 Jun 30, 2011 #1 Wakuu naomba msaada wa ushauri wa kisheria kwa mtu anayetaka kuacha kazi katika wizara moja kwenda nyingine (kazi tofauti). Pia kama kuna muongozo kuhusiana na hili naomba mnisaidie....
Wakuu naomba msaada wa ushauri wa kisheria kwa mtu anayetaka kuacha kazi katika wizara moja kwenda nyingine (kazi tofauti). Pia kama kuna muongozo kuhusiana na hili naomba mnisaidie....