King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Monica kazaliwa 1980!
Bado ana safari ndefu sana kuelekea uzeeni. Tena na vile yuko majuu akila bata na mbatata, ndiyo kabisa atazidi kunawiri kama shina la mgomba!
Angekuwa ni mla vumbi kama kina Ray C basi tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi.
Nikicheki video yake ya mwaka 1995(Don't take it personal-Just one of dem days) wakati ana miaka 15 na Hii ya sasa hivi aliyoitoa Sept 27 2011(Until its gone,akiwa na miaka 32) naona yupo vile vile,anamaintain sana mwili wake.Nini siri kwa wanaojua nataka nimuelekeze demu wangu abaki naye hivi hivi.
Lengo lako nadhani ni kusema hajabadilika sana na sio kwamba hazeeki coz miaka 32 bado sio umri wa kuitwa mzee jamani...
Yes amezaliwa 1980,lakini ukicheck mwili wake alivykua ana miaka 15 na sasa ana miaka 32 yani tofauti ni ndogo sana! Mtoto bado mbichi even thou ana watoto wawili.
Lengo lako nadhani ni kusema hajabadilika sana na sio kwamba hazeeki coz miaka 32 bado sio umri wa kuitwa mzee jamani...
Weka picha arifu......tulinganishe......bila picha sikubaliani na wewe....Nikicheki video yake ya mwaka 1995(Don't take it personal-Just one of dem days) wakati ana miaka 15 na Hii ya sasa hivi aliyoitoa Sept 27 2011(Until its gone,akiwa na miaka 32) naona yupo vile vile,anamaintain sana mwili wake.Nini siri kwa wanaojua nataka nimuelekeze demu wangu abaki naye hivi hivi.
Nawasilisha.
Nikicheki video yake ya mwaka 1995(Don't take it personal-Just one of dem days) wakati ana miaka 15 na Hii ya sasa hivi aliyoitoa Sept 27 2011(Until its gone,akiwa na miaka 32) naona yupo vile vile,anamaintain sana mwili wake.Nini siri kwa wanaojua nataka nimuelekeze demu wangu abaki naye hivi hivi.
Nawasilisha.
Mkuu weka picha,sio wote tunaomfahamu,