Kabla ya hukumu, nadhani tungefahamishwa kama kunao mwongozo wowote unaosimamia vifaa vya ofisi za umma . Kama hakuna basi hilo ni ombwe linaloweza kupelekea kwa wahusika kufanya kufuatana na matashi yao. Mtu anaweza kuweka samani na vifaa ofisi za umma na hatimaye kuviondoa. Ungekuwepo mwongozo nadhani ungetusaidia yafuatayo:Vitendo vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni,jana liliibukia Iringa mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya chama cha Chadema,Peter Msigwa kukuta ofisi imeondolewa kila kitu pamoja na kung'olewa kwa mapazia! Duh hii kali CHUKUA CHAKO MAPEMA:target:
Mkuu hebu rekebisha heading,ni mbunge wa Ìringa mjini na si wa chadema.Vitendo vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni,jana liliibukia Iringa mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya chama cha Chadema,Peter Msigwa kukuta ofisi imeondolewa kila kitu pamoja na kung'olewa kwa mapazia! Duh hii kali CHUKUA CHAKO MAPEMA:target:
Mbona hii ni kawaida jamani,mwashangaa nini?
Mbona hii ni kawaida jamani,mwashangaa nini?