Time Traveller
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 314
- 303
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei haina mazungumzo?Habari ya muda huu wadau. Nauza monitor (kioo cha computer) flat screen yenye ukubwa Wa inch 24 na mwonekano an'gavu (HD). Unaweza pia kuitumia kama TV. Unanunua tu kifaa kinaitwa TV box unaunganisha then unapata TV sebuleni kwako. Ninapatikana Dar-es-salaam, Makongo juu. Bei ni laki moja na nusu tu. Kwa mawasiliano piga simu namba 0714 360 921.
Nitakupunguzia kidogo mkuu nichekiBei haina mazungumzo?
TV box elfu40 kariakoo mkuuHiyo T.V Box ni tshs ngapi?
OkayNitakupunguzia kidogo mkuu nicheki
mambo vipi mkuu hizo bidhaa bado zipo au laaa?Habari ya muda huu wadau. Nauza monitor (kioo cha computer) flat screen yenye ukubwa Wa inch 24 na mwonekano an'gavu (HD). Unaweza pia kuitumia kama TV. Unanunua tu kifaa kinaitwa TV box unaunganisha then unapata TV sebuleni kwako. Ninapatikana Dar-es-salaam, Makongo juu. Bei ni laki moja na nusu tu. Kwa mawasiliano piga simu namba 0714 360 921.
Ilishauzwamambo vipi mkuu hizo bidhaa bado zipo au laaa?