Monopoly contract causes falling out in Uganda officialdom

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Duh hii habari imenipa moyo kiasi cha kwamba naona kuna some sort of recorvery in the wake of UFISADI na ile MI MIGAWE iliyojazana baharini kwa kukosa nafasi ya ku dock

Lakini hii haiondoi bado fikra zangukuwa Bandari ya Mombasa ni bora kwa waTanzania kuliko ya Dar kwa sababu mizigo haichelwi na pili hawatuibii vitu na kodi zao zinaeleweka

Otherwise if JK could pull this then itakuwa bonge la coup na ni Good news

sasa kama kuna mtu ana mawazo namna ya kuwafanya jirani zetu watumie bandari ya Dar au Mtwara au Tanga then leteni maoni yenu


The East African- Monopoly contract causes falling out in Uganda officialdom
 
Kwanza kabla ya Bandari ya Dar kushindana na Mombasa Port; wanatakiwa waache kula Rushwa. Dar Port ni Rushwa tupu.
 
GT uchawi hu wapi?
 
Tunaondoana relini bwn, hivi wajua wengine twajilipia internet connection, sasa kuweka thread haieleweki ndio nini au na wewe umo? Sik nyingine nakutukana.
 
Sidhani kama suala ni uchawi wa JK, atafanya mangapi? Cha msingi ni mamlaka husika kufanya usafi bandarini na TRA ili kupunguza urasimu na rushwa zisizokuwa na msingi. Vile vile kurekebisha maswala ya usalama wa mali za watu wanaotumia bandari za Tanzania, sina uhakika kwa Tanga na Mtwara ila kwa Dar ni tatizo sugu. Matatizo yanayotukabili yanafahamika; rushwa, milolongo ya taratibu inayosababisha mizigo kukaa bandarini muda mrefu, usalama wa mizigo na mengineyo. Hadi tuyarekebishe hayo ndipo tutafanikiwa kuwa wachawi.
 
Kama fisi, viongozi wetu wanasubiri mkono wa binadamu udondoke wapate uhondo - wamezoea vya kunyonga !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…