LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
MONOPOLY
Neno monopoly maana yake ni muuzaji mmoja (single seller).
Huu ni muundo wa soko ambao muuzaji wa bidhaa ni mmoja tu.
Vitu vinavyoweza kusababisha kuwepo kwa monopoly ni kama vifuatavyo:
1. Mazingira.
Mfano: Dunia nzima madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania pekee, kwahio Tanzania ni monopoly wa haya madini.
2. Serikali
Mfano: Tanzania hairuhusiwi makampuni mengine yoyote kusambaza umeme wa majumbani, hii sababu inafanya TANESCO kuwa monopoly.
3. Teknolojia
Mfano:
Microsoft and window (application za kwenye simu na computer)
Pia apple
Tabia za soko la monopoly ni kama zifuatazo:
1. Muuzaji ni mmoja
2. Hamna ushindani
3. Vikwazo vya kuingia kwenye hili soko ni vikubwa
4. Upekee wa bidhaa, Hakuna bidhaa inayoendana na bidhaa inayouzwa na monopoly
5. Bei inapangwa na muuzaji
6. Faida kubwa sana hupatikana kweye hili soko kwa muuzaji
Karibuni kutoa mifano ya monopoly duniani.
#monopoly #uchumi #economics #swahiliY