sasa wale wanaolea mimba zao wenyewe wanamdekea nani?
Raha ya kudeka uwe na wakumdekeasasa wale wanaolea mimba zao wenyewe wanamdekea nani?
hahaha..mtu anataka mapera usiku
kongosho naona wewe ulikuwa gwiji wa pregnancy angerhuwa ni msimu.
Ukifika msimu wa mapera hakikisha hayaishi nyumbani
utaambiwa kwenda sokoni usiku
ukifika wa udogo, jenga kichuguu home
vinginevyo utafuata Dodoma
na mfano akianguka bahati mbaya usicheke, atalia hata mwezi na lawama zitakurudia wewe.