Mood swings...wadada mbona mnakuwa hivyo?

hahaaha si bora hiyo cha mtoto, kuliko unakuta bibie hataki hata umsogelee wala umhug,huku anakutema mate anakuambia unanuka.:A S angel:
 
hahaaha si bora hiyo cha mtoto, kuliko unakuta bibie hataki hata umsogelee wala umhug,huku anakutema mate anakuambia unanuka.:A S angel:
Pole mkuu

kuna harufu zao wanazipenda..wewe pita kule gymkhana a coco beach utawaona wanapunga hewa
 
.......Dahhhh!! Usinikumbushe hicho kipindi, nilikuwa napenda baking chicken, tena ni hotel moja tu nilikuwa naipenda chicken yao. Sasa ole wake asilete, maana alikuwa ananifanyia kusudi muda mwingine .........hicho kilio chake hadi alikuwa ananishangaa!! Mimba si mchezo hata kidogo, mtu unakuwa na tabia za ajabu hadi basi.
 
ha ha ha
akha, mie kigori mbichi kabisa
nipate wapi watoto
ndo nategemea kuchezwa kesho lol

usininyime rizki.

Ila ni kweli, mood inakuwa ya kugusa tu inabadilika.
Anaweza akaamka hata kutapika usiku na wewe akakuamsha wakati huhusiki kwa lolote.

kongosho naona wewe ulikuwa gwiji wa pregnancy anger
 
Embu shughulika huko. Unadhani kubeba mimba miezi tisa mchezo ehhhhh? Ile ni zaidi ya kazi na hicho unachotakiwa wewe kumfanyia mwenzio hakifikii hata 1/10 ya anachofanya yeye so stop complaining and make her happy.
 
Ila cku hzi wako tofauti,wengi wanasemaga eti wana hamu na bagger.
 
Ila cku hzi wako tofauti,wengi wanasemaga eti wana hamu na bagger.
wanakuwa na season ya hamu fulani na ikipita atakichukia hicho kitu mpaka mtu anayekila
 
husninyo hebu tupe maexperience ya hicho kipindi...

mi mwenzio nilikuwa namtuma mme wangu sa tano za usiku akaniletee soda ya kempiski. Nilikuwa staki soda ya duka lolote. Tuvumilieni tu jamani.
 
mi mwenzio nilikuwa namtuma mme wangu sa tano za usiku akaniletee soda ya kempiski. Nilikuwa staki soda ya duka lolote. Tuvumilieni tu jamani.

Duh Husninyo...soda hio inanukia kikempiski?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…