INATISHA! nikiwa kama Mtanzania bendera ni moja ya utambulisho wangu.......uzalendo hufundishwa toka utotoni.
Mpe mtoto bendera mbili na mojawapo ikiwa tuijuayo na nyingine iwe hiyo yenye "NYOTA MBILI" Jibu atakalokupa tujue huyo aliyeweka hiyo bendera alikosea "makusudi" au alifanya makusudi!!!!!!