Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hicho kitu ni kweli mdau ila me nafikiri ni vitu ambavyo sometime huwa tunawaza vinasababisha hali hiyo,
...cha ajabu wa kwangu akiwa ktk mood mbaya inayompelekea kuwa na ka-angry face,nikimtekenya tu chali😛oaHivi kwanini madem wanakuwa na moods? mara wako sawa na vicheko vingi mara gafla wanakuwa butu kabisa, kimya, huzuni, mawazo! ni kwamba hawajiamini au mambo mengi kichwani? Waheshimiwa wadau...Nawakilisha!