Moods kwa madem ni nini maana yake?

kelnmyg

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
28
Reaction score
15
Hivi kwanini madem wanakuwa na moods? mara wako sawa na vicheko vingi mara gafla wanakuwa butu kabisa, kimya, huzuni, mawazo! ni kwamba hawajiamini au mambo mengi kichwani? Waheshimiwa wadau...Nawakilisha!
 
Wanawake wanapishana. wengine ni tabia tu, wengine wanalazimishwa na mazingira.
Kwanza kabisa wengi hawapendi kuitwa dem, hiyo inaweza kua sababu ya kwanza.
 
Mi sijui kwanini ila fanya utafiti utajua sababu.
 
hicho kitu ni kweli mdau ila me nafikiri ni vitu ambavyo sometime huwa tunawaza vinasababisha hali hiyo,
 
Hivi kwanini madem wanakuwa na moods? mara wako sawa na vicheko vingi mara gafla wanakuwa butu kabisa, kimya, huzuni, mawazo! ni kwamba hawajiamini au mambo mengi kichwani? Waheshimiwa wadau...Nawakilisha!
...cha ajabu wa kwangu akiwa ktk mood mbaya inayompelekea kuwa na ka-angry face,nikimtekenya tu chali😛oa
 
Kunasiku wanakuwa wameumia wanatoka damu mdomoni usiwalaumu wasipo cheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…