Moon Dubai: Hoteli ya kifahari yenye umbo la mwezi

Waarabu Wana pesa. Huku Kilwa Kivinje tunafunga ndevu tu na kuvaa kobazi
 
Ningeshauri kituo kimoja cha TV Tz kituo kipindi maalum kwa ajili ya United Arab Emirates UAE kuonyesha maendeleo waliyo yapata kwa kipindi kifupi zaidi kisicho zidi miaka 50 tu kutoka NCHI iliyekuwa Jangwa hadi kufikia kwenye level ya juu kabisa kimeendeleo itasaidia kuleta INSPIRATION kwa viongozi wa TZ na Wananchi.
 
Waarabu Wana pesa. Huku Kilwa Kivinje tunafunga ndevu tu na kuvaa kobazi
Huu Uzi unaongelea maendeleo ya Dubai lakini ww Kila comment Yako mara uwataje waislam wa kisiju mara kilwa kivinje au kuna ustadh huko kilwa amekulawiti kwahyo una hasira na dini yote ww malizana naye huyo huyo aliekulawiti mpeleke polisi usituletee chuki zisizona mpango Uzi unaongelea maendeleo ya Dubai changia km wenzako sio kushambulia wasio husika.
 
Takbiiir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…