Morani wanapagawa na bangili za shingoni

Morani wanapagawa na bangili za shingoni

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Sopa mazee.

Ipo hivi, mwanaume wakati anachagua mwanamke wa kumweka ndani kuna vitu huwa anathaminisha. Kuna baadhi ya wanaume huthaminisha ukubwa wa makalio, wengine umbo la miguu, wengine uwima wa matiti, na nakadhalika.

Hali ipo hivyo hivyo kwa vijana wa kimasaai japo wao hawathaminishi vitu tajwa nilivyoorodhesha hapo nyuma, bali wenyewe Hujikuta wanapagawa na jinsi kigoli akizichezesha Bangili yake kubwa shingoni kwa kunesa nesa. Tulipofwatilia hili swala na kuuliza baadhi ya vigoli huu ndio ulikuwa ushahidi wao juu ya hili swala.

Lankenua alisema " mimi nina bahati bibi yangu ni mjuzi kweli wa kufuma bangili shingo nilimwambia anifumie ya kupendeza, na kweli nilivyoenda ngomani walipagawa sana"

Naisiae alisema " mimi nategemea kufanya juhudi zaidi katika kuchezesha Bangili langu wananipenda sana, huwa nafanya kama napeta mtama"

Na Nalutuesha alisema " mimi napenda kuchezesha mvua ikiwa inanyesha"

Morani walikiri kweli kupagawa na kutaka vigoli kupunguza madaha kidogo ya kunesa nesa kwani Bakora zao zaweza pasuka kwa kusimama mda mrefu.

images (1) (9).jpeg


images (1) (1).jpeg
 
Kweli watu tunatofautiana asee, yaani nisimamishe mnala wa babeli kisa kuchezesha hayo masahani shingoni? Khaa
 
Kama ni kweli basi yatosha kusema kila mtu na apendacho,japo sitaki kuamini na pia sitaki kukataa
 
Duhhhhh....🙄🙄
Amakweli ajipigae mwenyewe hawezi kulia...😜
 
Hizo bangili za shingoni zinavaliwa karibu na nyonyo...


Hapo morani macho kwenye nyonyo....

"Napenda kucheza kwenye mvua"

Mwisho wa kunukuu.

Sasa kama bangili zinaloa hapo utajua mwenyewe.
 
Embu cheki huu mlinganyo, endapo kijana wa mjini anapagawa na shanga moja tu kiunoni je huyo morani hali itakuwaje kuona mishanga yote ile shingoni: shingo ni kiuno ambacho kipo juu ya mabega🤗
 
Back
Top Bottom