Moratta hawezi kuziba pengo la Diego Costa.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Washabiki wa Chelsea hili jambo mnapaswa kulielewa vizuri , pamoja na mapungufu ya Tabia ya Costa lakini mara zote amekuwa mbabe mno ndani ya 18 , kuziba pengo lake kwa mchezaji wa kawaida kama Alvaro Moratta ni kujidanganya mno .

Konte unisome vizuri na unielewe sana .
 
Acha Uchawi wako Wewe kama We cyo Chelsea piga kimya tuache na Chelsea yetu Moratta ni bonge LA mchezaji
 
Kwan wamekwmbia wamesajil ili azibe nafas ya mtu au aje acheze mpira
 
Man utd mna kelele jaman khaa mbona arsenal hatuwasikii wakisema haya au kwa kuwa nanyinyi mlikua mkimtaka mkaambulia kumsajili galasa joselukaku nguvu nyingi akili kisoda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia hata man u walikuwa wanamtaka tena kama chaguo lao la kwanza hapo ndiyo utajua wivu wa waliomkosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…