More than serious nahitaji mume wandugu

More than serious nahitaji mume wandugu

jena

Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
17
Reaction score
21
Re: ADVERTISMENT

More than serious nahitaji mume wandugu

Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 32. Sijaolewa, sina mtoto na Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.Mwenye umri kuanzia 33-43.

Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.

Mimi ni muajiriwa katika shirika

Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
 
[h=2]Re: ADVERTISMENT

More than serious nahitaji mume wandugu[/h]
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 33 - 43. Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.

Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.

Mimi ni muajiriwa katika shirika

Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
Kila la kheri mpendwa!..vile umesema umemtanguliza mungu naiman atakupatia mume mwema!
 
Ningekufikiria kukusaidia shida yako ila uko kwene southside ya biological clock mamii..
 
utapata wa ubavu wako dada usiogope..endelea kumuomba Mungu
 
if wishes were horses, beggars could ride

Ndoa ni taasisi yenye baraka za muumba.... cant just be found like that
 
Una miaka "33 - 43" ndio nini hicho, unaficha nini, au ni kibibi kimepigika?

Kama "mke mme mwema anatoka kwa Mungu," kwa nini unakuja kutafuta mume mitandaoni, kwani Mungu hajui kwamba unatafuta akushushie mume?

Kama unataka mtu wakuwa nae "kwa raha na tabu," kwa nini hutaki mtu mwenye tabu ya ukimwi? Kama hupendi mtu ambae hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake kwa sababu "kuna janga la ukimwi," vipi ambae anajua kujikinga na ukimwi lakini anapenda wanawake? Na ukimwi si una dawa?

Mchumba awe "walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela." Hueleweki, diploma ndio nini na "kabachela" ndio nini?

Awe ameajiriwa kwenye "shirika au serikalini." Vipi kama ana mahekari ya mashamba ya kahawa na ng'ombe wa maziwa na nyama na maduka ya kubadilisha hela ambayo sio "shirika"? Unajua unachokiandika?

Hutaki mtu anaetaka "kujaribisha," well, mtu una mvua 43 usawa huu, nitajuaje bado unashika mimba wewe kama sijajaribisha kwanza?

Wife advertisement yako haijaenda shule.
 
Anheuser
Blah, Blah , Blah...........................first of all she a lady looking for a man, which speaks volume where your ushauri lies...................ie Garb**e
Secondly either you are interested or not. If you are, do the needful and get intouch with the lady .If not, then save your advice for when and/or where it's needed. She is looking for a potential patner to be hubby and not your take on how to find one!!! Get it straight!!!!!!!!!!

Jena
All the best, Pole for invading your thread with my two cents, but Im sick and tired of these type of people , I just couldnt let it be

Ps
The same goes to all of you, mnaopendaga kuharibia watu nia zao za kupata wenza with your NEGATIVITY!!!!!
 
YEYE ALIBVYOKUWA ANAANDIKA, ALIONA KUWA NDIO AMEPATIA KWELIKWELI NA atawanasa wengi kwelikweli!!
 
'Adam' wako yuko na karibia ataamka usingizini ...Endelea kumwamini MUNGU atafanya....
 
Anheuser
Blah, Blah , Blah...........................first of all she a lady looking for a man, which speaks volume where your ushauri lies...................ie Garb**e
Kumbe hujaelewa maana.

Wewe ni mwanamke uliyejitangaza kuwa unatafuta mume, umetangaza kwamba mke anapatikana, "wife advertisement"! Sasa ghafla watoka mapovu ya nini binti, si umesema unataka mtu "muwazi"?
 
Back
Top Bottom