Moringa wa Yanga kama CR7

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
337
Reaction score
441
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa hizi ni dhambi yaani pesa ya bakuli ya 'kubwa kuliko' imetumika kumleta huyu mjamaa....!!
 
Garasa lile,kwa kifupi Yanga kaingia choo cha kike, natizama kwa jicho la tatu usajili wake naona kabisa jirani alikurupuka mno.
 
Reactions: Tui
Mi namwona yuko vizuri tu ila bado haja changanya.
Nimelipenda umbile lake akilitumia vizuri atatisha sana.
Ni maumbo ya akina Shiboli na Mwaikimba.
 
Umbo lile anafaa awe bouncer.Lukaku kawekwa benchi na Inter ili apunguze uzito. Ana kilo 104.Mpira sio unyanyuaji wa vyuma.
 
πŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸΈπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…