Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,194 Jul 20, 2015 #1 Samahani wadau kwa yeyote anaeifahamu shule hii, je wanatoa michepuo ya sayansi PCM,CBG kwa kidato cha tano? Nimejaribu kuangalia ktk mtandao sioni hiyo shule kwa mwaka ktk matokeo ya mwaka huu S 0409
Samahani wadau kwa yeyote anaeifahamu shule hii, je wanatoa michepuo ya sayansi PCM,CBG kwa kidato cha tano? Nimejaribu kuangalia ktk mtandao sioni hiyo shule kwa mwaka ktk matokeo ya mwaka huu S 0409
Parata JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 3,090 Reaction score 680 Jul 21, 2015 #2 ndio wanatoa mkuu