Morinho you can fool some people for sometime...

babacollins

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
901
Reaction score
212
Naamini janja ya Morinho kuvamia ligi na kutawala kwa misimu mitatu na kukimbia akiwa na sifa kedekede janja yake inafikia mwisho pale Hispania.Pengo la pointi linazidi kuongezeka na kibaya zaidi hana uhakika wa kutoka na point atakapakutana na barca so ubingwa wa la liga unamkimbia na anapojitahidi kuukimbiza haukuti.......kweli you can full some people sometime but you cant full all the people all the time.
 

Hivi ni lazima uwe unapost kitu humu JF??? mambo mengine yanatia kichefuchefu sana..sasa hapo ndo ulitaka kusema nini yaani...kiingereza chenyewe hujui unajiandikia tu..sasa ku full ndo nini ?au unadhani full= fool....???ovyo
 

shabiki wa Barca au siyo?
 

Kindly replace "full" with "fool"
 
Morinho!!!!?????
Do you mean Mourinho, the special one? Pole sana. Haya ndo madhara ya kuangalizia mechi bar!
 

Shule za kata hizi bila shaka! Pole sana mjomba
 
Ukitaka mpende au mchukie,haumwambii kitu sababu yeye special 1 ndie yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…