Morison awekwa sero Ostabay

Morison awekwa sero Ostabay

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Polisi walimsimamisha baada ya kulitilia shaka gari lake lakini majibizano yakachukua mda na hatimaye polisi wakaona wamweke lockup.
 
Siyo mda atababikwa kesi ya uhujumu uchumi🤣🤣🤣 hii bongo ni noma tupu
 
Polisi walimsimamisha baada ya kulitilia shaka gari lake lakini majibizano yakachukua mda na hatimaye polisi wakaona wamweke lockup.
Tupate picha kwanza,
IMG-20200730-WA0055.jpg
 
Tuliyaongea jana humu. Rumande hakuna mwenyewe, kapaki gari dk hii dk inayofuata anajikuta O'bay
 
Bahati mbaya sana polisi hawafuatilii ligi za bongo.hata hawamjui ni nani🤣🤣🤣
 
Polisi wanadai walimkamata baada ya kupishana maneno hao gsm wamebadili jina lakini tabia zao ni zilezile za home shopping center
 
Na mkuu wa kituo anasema Yeye Morrison ndo aliwambia wampeleke kituoni baada ya police kutomwelewa, na anasema tumeoana hakua na kosa la kushikiria ndo maana walimwachia
 
Kwa mujibu wa maelezo ya mwanaspoti Morison alisimamishwa na polisi baada ya kuhisi harufu ya bangi, dereva na Morison waliwaruhusu wakague hawakukuta kitu chochote baadae wakataka simu ya Morison waikague hapo ndio utata ukaanza mpaka wakafikishana polisi cha kujiuliza polisi waliwezaje kunusa harufu ya bangi kwenye gari iliyofungwa vioo pia kwanini watake kuikagua simu ya Morison
 
Bahati mbaya sana polisi hawafuatilii ligi za bongo.hata hawamjui ni nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani kakwambia? Mpaka vituoni huko wanaangalia mechi kwenye tv ...simu au wanasikiliza redio.
Wale wanaolinda wkt mechi nao ni polisi.
 
Back
Top Bottom