Tupate picha kwanza,Polisi walimsimamisha baada ya kulitilia shaka gari lake lakini majibizano yakachukua mda na hatimaye polisi wakaona wamweke lockup.
Polisi walimsimamisha baada ya kulitilia shaka gari lake lakini majibizano yakachukua mda na hatimaye polisi wakaona wamweke lockup.
Nani kakwambia? Mpaka vituoni huko wanaangalia mechi kwenye tv ...simu au wanasikiliza redio.Bahati mbaya sana polisi hawafuatilii ligi za bongo.hata hawamjui ni nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]