tangu timu itoke dubai wamecheza mara ngapi?Mbona kapama okrah nyoni wote wamecheza jana,okwa yuko ihefu kwa mkopo.
Kumbe ulikua unajua wapi pa kupata taarifa rasimi uka amua kukaidiHatimaye nimepata jibu leo,jamaa inasemekana ana majeraha nyonga(kwa mujibu wa ali kamwe)....swali ni je aliumia kwenye mechi gani...???na wapi???...N:B ATAKUWA NJE KWA MIEZI MIWILI.
Inakuuma?Jamaa anakula hela kiulaini sana hapa Bongo aisee. Pesa ya Simba kidogo ndio kaitumikia.
Kapama, nyoni, okra, okwa wapo wapi mbona hawachezi?