Zinaitwa morning after pills hivo hivo na zinapatikana maduka yote ya madawa, kuna zingine zinaitwa after sex pills zote kazi yake ni moja...mkuu vipi umeshaharibu?Msaada madaktari ..Kuna mtu ananiuliza morning after pills zinapatikana wapi? Na zinaaitwaje exactly kwa maduka yetu ya bongo..
Postinor 2, kifupi zinafahamika zaidi kama P2! Ila next time usifanye utoto wa kusingizia eti kuna mtu kaniuliza. Sema nmtafutia mpenzi wangu dawa ya kufifisha ujauzito maana kazi ulioifanya iko dhahiri!Msaada madaktari ..Kuna mtu ananiuliza morning after pills zinapatikana wapi? Na zinaaitwaje exactly kwa maduka yetu ya bongo..
ππππππ ila ni kawaida ya raia humu, hata mkewe akimzingua analeta story na kujifanya ni rafiki yake ndio amepatwa na huo msalaSi ndo hapo bwana, au anaogopa mzigo wa lawama Jf[emoji1]
Na ndio mana amekosa wachangiaji[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ni kawaida ya raia humu, hata mkewe akimzingua analeta story na kujifanya ni rafiki yake ndio amepatwa na huo msala