morning erection.

morning erection.

Kobe

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
1,794
Reaction score
812
Habari wakuu..
Naomba kupata maarifa kuhusu hii kitu kuamka kwa uume wakati wa asubuhi kwa wanaume wengi..na baadhi huwa hawaamki na hiyo hali..lakini hawana tatizo la kujamii kwa maana wanafanya tendo la ndoa pasi na shida.. je hali ya kuamka na kutoamka nini faida na madhara yapatikanayo kibinadam na kwa wasio amka uume umesisimka asubuhi nini kifanyike kurekebisha kasoro hiyo.
Natanguliza shukran kwenu.
 
Kaz nyingi za kujenga mwili hufanyika usiku wakat mwili umetulia most of spam hutengenezwa usiku kwenye "TESTES" na kuhifadhiwa kenye "SEMINALFEROUS" huwa spam zinapokuwa nyingi mwili utakujulisha kwa kukupa hamu ya mapenz au kusimama mara kwa mara kwa uume, now mornng erection inamaanisha kiwanda cha kutengeneza spam kimekamilisha ujazo wa sperm unaotakiwa na kwamba kilakitu kiko salama kwenye uzalishwaji wa spam, ndo maana ukifanya mapenz sana kabla ya kulala uume hauta simama asubuh! Kwa mtu ambaye hasimamish ni dalili yakupungua kwa uzalishwaji wa spam, labda alikuwa anafanya punyeto sana au anangonoka sana. Tiba ipo ila inaitaji usimamiz wa dactari.
 
Na kwa watoto je nao wanazalisha sperms?mi mwanangu kila asubuhi kitu kinasimama dede na ana niaka 4 tu.
Usichukulie face-value ya kila dondoo kutoka kwa 'madokta' wa humu, kuna madokta waganga wa kienyeji kama MziziMkavu, na kuna madokta wa majini na hata wa viduku pia wapo.
 
Last edited by a moderator:
...ha ha mkuu mbona tangia tukiwa watoto msepelele morning huwa unasimama tu !!! Msepelele kusimama asubuhi ni kwamba uko tayari kwa shughuli muda wowote .....very massive than ule usio simama asubuhi!!!!

Kutambua zaidi lala chali ukiwa umeangalia juu msepelele mkakamavu husimama wima nyuzi 90 ule goigoi husimama kwa nyuzi 45

chukua na hii :mautambuzi mengine unapokuwa unagegeda mtoto lazima atoke machozi bila sauti hapo ndo utajua msepelele umezama nyuzi kwa nyuzi 90

Ijumaa njema mku
 
Hiyo ya kwako ni goigoi. Yangu ni nyuzi 45 kuelekea kitovuni.
 
Na kwa watoto je nao wanazalisha sperms?mi mwanangu kila asubuhi kitu kinasimama dede na ana niaka 4 tu.
kwa kesi ya mwanao wa kiume ukimuona hivo ujue zoezi la kuimarisha uume linafanyika kikamilifu,ambalo ni upitishaji wa damu na kuimalisha misuli ya uume.....hivyo hongera kidume unacho kilichobaki ukilinde tu.

Mkuu kuna homon inaitwa testosterone amabyo ndiyo inayohusika na mihemko ya mwili kwa wanaume na mambo yoote ya tabia za kiume..
Mara nyingi sana homo hii humwagwa mwilini kwa wingi naturally mida ya alfajiri na kusababisha "DOGO JANJA" kusimama na inaposhuka basi dogo husinzia...

Kuna watu hii homon ni nyingi sana na kuna watu hii homon ni kidogo, ikiwa nyingi mwilini maara nyingi watu huwa na tbia za kiume zilizopitiliza kama vile ubabe, kuwa rough na mambo kama hayo ila ikipungua sana watu huwa na tabia za kike sana na mambo ya kike mfano mwanaume kufumuka maziwa kama mwanamke, makalio kuwa makubwa na mmbo kama hayo....
Kimsingi homoni hii huwa nyingi unapokuwa na umri wa ujana na hupungua kadri unavyozeeka....

Zipo sababu zinazopunguza uzalishwaji wake kama vile STRESS, ULEVI KUPITA KIASI, VYAKULA HASA VYA MADUKANI, MADAWA na CHEMIKALI nyingi za viwandani...

Vyakula vinavyosababisha kuzalishwa kwa wingi hii homon ni vile vyenye ZINC kwa wingi kama vile PWEZA, MBEGU ZA MABOGA, MATIKITIKI MAJI NA MBEGU ZAKE na VYAKULA VINGI VYA BAHARINI....

Kumekuwa na kamsemo mitaani kuwa ukiwa na gemu kanywe SUPU YA PWEZA...lakini kimsingi pweza wamesheheni zinc kwa wingi hivyo kusababisha homon hii kuzalishwa kwa wingi....

Nafikiri nimetoa angalau mwanga fulani na nimejitahidi kuepuka maneno ya kitaalamu....
 
hujajibu swali kabisa
 
Attachments

  • 45.jpg
    45.jpg
    3.4 KB · Views: 72
  • 90.jpg
    90.jpg
    2.6 KB · Views: 445
Hivi wanawake nao wanakuwa na "morning glory"?
 
Back
Top Bottom