Usichukulie face-value ya kila dondoo kutoka kwa 'madokta' wa humu, kuna madokta waganga wa kienyeji kama MziziMkavu, na kuna madokta wa majini na hata wa viduku pia wapo.Na kwa watoto je nao wanazalisha sperms?mi mwanangu kila asubuhi kitu kinasimama dede na ana niaka 4 tu.
...ha ha mkuu mbona tangia tukiwa watoto msepelele morning huwa unasimama tu !!! Msepelele kusimama asubuhi ni kwamba uko tayari kwa shughuli muda wowote .....very massive than ule usio simama asubuhi!!!!
Kutambua zaidi lala chali ukiwa umeangalia juu msepelele mkakamavu husimama wima nyuzi 90 ule goigoi husimama kwa nyuzi 45
chukua na hii :mautambuzi mengine unapokuwa unagegeda mtoto lazima atoke machozi bila sauti hapo ndo utajua msepelele umezama nyuzi kwa nyuzi 90
Ijumaa njema mku
kwa kesi ya mwanao wa kiume ukimuona hivo ujue zoezi la kuimarisha uume linafanyika kikamilifu,ambalo ni upitishaji wa damu na kuimalisha misuli ya uume.....hivyo hongera kidume unacho kilichobaki ukilinde tu.Na kwa watoto je nao wanazalisha sperms?mi mwanangu kila asubuhi kitu kinasimama dede na ana niaka 4 tu.
Na kwa watoto je nao wanazalisha sperms?mi mwanangu kila asubuhi kitu kinasimama dede na ana niaka 4 tu.
Usichukulie face-value ya kila dondoo kutoka kwa 'madokta' wa humu, kuna madokta waganga wa kienyeji kama MziziMkavu, na kuna madokta wa majini na hata wa viduku pia wapo.
Mkuu kuna homon inaitwa testosterone amabyo ndiyo inayohusika na mihemko ya mwili kwa wanaume na mambo yoote ya tabia za kiume..
Mara nyingi sana homo hii humwagwa mwilini kwa wingi naturally mida ya alfajiri na kusababisha "DOGO JANJA" kusimama na inaposhuka basi dogo husinzia...
Kuna watu hii homon ni nyingi sana na kuna watu hii homon ni kidogo, ikiwa nyingi mwilini maara nyingi watu huwa na tbia za kiume zilizopitiliza kama vile ubabe, kuwa rough na mambo kama hayo ila ikipungua sana watu huwa na tabia za kike sana na mambo ya kike mfano mwanaume kufumuka maziwa kama mwanamke, makalio kuwa makubwa na mmbo kama hayo....
Kimsingi homoni hii huwa nyingi unapokuwa na umri wa ujana na hupungua kadri unavyozeeka....
Zipo sababu zinazopunguza uzalishwaji wake kama vile STRESS, ULEVI KUPITA KIASI, VYAKULA HASA VYA MADUKANI, MADAWA na CHEMIKALI nyingi za viwandani...
Vyakula vinavyosababisha kuzalishwa kwa wingi hii homon ni vile vyenye ZINC kwa wingi kama vile PWEZA, MBEGU ZA MABOGA, MATIKITIKI MAJI NA MBEGU ZAKE na VYAKULA VINGI VYA BAHARINI....
Kumekuwa na kamsemo mitaani kuwa ukiwa na gemu kanywe SUPU YA PWEZA...lakini kimsingi pweza wamesheheni zinc kwa wingi hivyo kusababisha homon hii kuzalishwa kwa wingi....
Nafikiri nimetoa angalau mwanga fulani na nimejitahidi kuepuka maneno ya kitaalamu....
Teeh Teeh Teeh!spam??????
kaka na-enjoy my new bride/very true
shekhe umepotea sana vipi tena yakhe??
kaka na-enjoy my new bride/
Hiyo ya kwako ni goigoi. Yangu ni nyuzi 45 kuelekea kitovuni.
Hiyo ya kwako ni goigoi. Yangu ni nyuzi 45 kuelekea kitovuni.
ha ha, uyo muweke mbali na watoto wa kike..
Wenyewe watakuja sasa hivi kutujuzaHivi wanawake nao wanakuwa na "morning glory"?