Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ladies.. Try it.. Nayapenda sana macho yangu the day nikipata chakula cha uzima asubuhi.. Guys try to your partners the problem is baada ya hapo mnatawanyika mnaelekea kwenye majukumu lol...
Hahahaha!!!! Habari yake morning glory banaaando maana mnatusumbua na minanihii kwenye daladala kumbe ndo mmetoka kupata hiyo mi glory morningi sijui ...aaaagh nyie bana
Yes ladies.. Try it.. Nayapenda sana macho yangu the day nikipata chakula cha uzima asubuhi.. Guys try to your partners the problem is baada ya hapo mnatawanyika mnaelekea kwenye majukumu lol...
I loooove it, ila ya sexy eyes?? nachojua huwa nasmile hata kwenye foleni peke yangu
I loooove it, ila ya sexy eyes?? nachojua huwa nasmile hata kwenye foleni peke yangu
Nakumbuka nilivokuwa nachoshwa nakuwa na raha tu kila gari nayokutana nayo nawapungia mkono, nakumbuka mengi Kaizergenuinely unakuwa unakumbuka nini gaga?
We acha tu ukifika kazini siku hiyo kila mtu unamsalimia kwa shangwe, utasikia G leo mbona uso wako una glow hivo lol!!!Gaga we mkareeee...
We acha tu ukifika kazini siku hiyo kila mtu unamsalimia kwa shangwe, utasikia G leo mbona uso wako una glow hivo lol!!!
katika hali ya kawaida huw haiwezekani AshaD labda muwe newly wed na hakuna majukumu wala watoto ila miaka inavyoenda kuna vitu vingi vya kufanya, kama asubuhi wakati unatakiwa upate hiyo kitu unaandaa watoto waende shule,hii inajitokeza ila sio kila siku mpenziSasa kitu gani kinazuia wewe kupata chakula hicho kila siku so that your days are colorful???
katika hali ya kawaida huw haiwezekani AshaD labda muwe newly wed na hakuna majukumu wala watoto ila miaka inavyoenda kuna vitu vingi vya kufanya, kama asubuhi wakati unatakiwa upate hiyo kitu unaandaa watoto waende shule,hii inajitokeza ila sio kila siku mpenzi
@Asha.. Nilipenda macho yangu muda huo najiandaa hahahaaaa..genuinly
Asha sikuwahi kuregret kuolewa hata siku moja mwenzangu rahaa nyingi kuliko maudhi na nayaface yote kwa uwezo wake muumba.mbona ume edit?Kweli dear ndo maana siku ukifaniwa kupata huo msoso inakua worth it....