Morocco na kocha wao hawajabahatisha, walijipanga

I know but it's the only African team so far remains in world cup campaign lets stand firm and support them and break our sill ego and barriers lets do it.
Hivi Cameroon na Senegal walishatolewa?
 
Kuna kozi ilifanyika Morocco mwaka huu ambayo inawezesha wahitimu kufundisha ulaya. Walihudhuria makocha 12 kati ya 9 walitoka Morocco waliobaki ni Ibenge, Cisse wa Senegal na Pitso Mosmane.
Morocco Wana makocha wengi wenye uzoefu
 
Sasa kamaanisha Nini wakati kasema ushindi wa Morocco ni Kwa ajili ya warabu na Morocco na waislam na c waafrica , utadhani wenyewe hawapo Africa , bila shaka ww ndio utakua umeshikiwa akili aisee
 
Sasa kamaanisha Nini wakati kasema ushindi wa Morocco ni Kwa ajili ya warabu na Morocco na waislam na c waafrica , utadhani wenyewe hawapo Africa , bila shaka ww ndio utakua umeshikiwa akili aisee
Sijaona kitu cha kujadili kwenye maelezo yake ni ujinga tu wa waafrika huwezi mpangia mtu kitu cha kuongea sasa kwani kama hajaitaja Africa shida iko wapi.
 
nawaombea mchezo wa kesho wafungwe kima wale, si wanajifanya sio waafrica?
 
Morocco ni mwakilishi wa CAF kwenye WC...
Wao kama wanajiona sio Waafrika basi wajue kuwa sisi Waafrika kupitia CAF tunewaagiza wakatuwakilishe huko na wakifanikiwa warudishe kombe kwenye ardhi iliyopo Afrika...
 
Morocco is going to be the winner of the world cup 2022.
so I urge my fellow African to support our team Morocco.
 
Morocco is going to be the winner of the world cup 2022.
so urge my fellow African to support or team Morocco.
The world cup final will be Netherlands against Morocco and many people they don't believe it as they didn't in the round of sixteen clash against Spain but I believe Morocco they will make it to the final and win it for the first time in world cup history.
 
Ushindi wowote Kwa Morocco uko dedicated Kwa Waarabu, na hivyo Mimi blackfool kama wanàvyopenda kuniita haunihusu. Maneno aliyosema captain wao yako clear.
 
Sasa kamaanisha Nini wakati kasema ushindi wa Morocco ni Kwa ajili ya warabu na Morocco na waislam na c waafrica , utadhani wenyewe hawapo Africa , bila shaka ww ndio utakua umeshikiwa akili aisee
Hawapo Afrika, we unawaonaje ndugu.
 
Mtaje kwa jina huyo mzungu aliyeanzisha hiyo hoja, usisahau kuweka na picha yake.
 
Kwani lazima awataje waafrika kwani Morocco ipo ulaya.
Kasema mwenyewe kuwa Morocco sio Africa na akadai kuwa aliyeanzisha hiyo ajenda sio wa kutokea Africa, mie nilimtaka amtaje ili nijilizishe na usemi wake.

Namtaka huyo mzungu nimjue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…