BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mwarabu mweusi akiripoti toka Kigiragira nchi ya kusadikika.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Morocco bingwa afcon
Pamoja sheikhChama langu..
Mungu anakuonaHao sitaki hata kuwasikia
Washenzi sana
Hahaha wee mdiniBora niitwe Maghayo mwehu kuliko kuishabikia Taifa stars kichwa cha Maghayo , Leo ilikuwa mara ya mwisho kuishabikia sasa nahamia kwa Waarabu wenzangu Morocco kuwashabikia jumla jumla..
Mungu hapendi ubaguziMungu anakuona
Kutukana pia ni dhambiMungu hapendi ubaguzi