Unataka kusema hushabikii timu yoyote ya ulaya au amerika? Pamoja na ubaguzi uliopo likiwemo la kufananishwa na nyani+kutupiwa maganda ya ndizi hilo hulioni! Na bado unaendelea kushabikia timu zao!
Hilo la Morocco una ushahidi gani kama ni mchezaji mmoja au wote wametamka hilo!
Pili-swala la ubaguzi hata huku lipo, tena sanaa.
Mimi nitaendelea kushabikia waislamu wenzangu in shaa Allah, japo mpira ni haram kutokana na yaliomo ndani yake.