Morocco, Senegal na Misri Out, hizo ndio timu kubwa

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kombe linaenda wapi?

Mbona meza imepinduka snaa kwa timu kubwa

Ila Moroccco ni kama imeonewa sana na refa.

Nilitaka Morocco ipite

Morocco out
Algeria out
Senegal Out
Tunisia Out
Egypt Out

Fainali haitonoga

Hakim katuvunja nguvu but ndio footbal, Hakim is gentleman
Tumemsamehe
 
Kwani Morocco ndo mungu wa soka?

Kiburi na majivuno ya Morocco walipofanya vizuri kombe la dunia, Mungu amewalaani.

Mbwa wale, warudi kwao watuachie Afrika.

Nimefurahi sana kutolewa kwao. Mungu ibariki Afrika na AFCON yake. Asante kwa kuwaondoa wabakaji wa soka la Afrika.

Kwa sasa yeyote achukue kombe, sina neno.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Muhimu mwarabu out, yeyote anayebaki achukue tu.
 
Watanzania ushabiki wenu ni wa kijinga sana😂😂

Morocco amepewa penalty je refa alipaisha?

Je kuna goli la Morocco limekataliwa?
 
Morocco hakuonewa Ila alibebwa ile penati ilikuwa dhuluma .
South Africa Mpira wanaujua Hata sijui walifungwaje na kina Diara .
 
Kombe ni South Africa , Angola au Mali
 
Morocco hakuonewa Ila alibebwa ile penati ilikuwa dhuluma .
South Africa Mpira wanaujua Hata sijui walifungwaje na kina Diara .
●Moroco hajaonewa.
●penati ilikua sahihi

kwa ujumla refa alikua fair nampa 90/100.
 
Mbona Ghana umeiacha au sio timu kubwa
 
Mpira wa Africa umekua. Mimi nimefurahi Morocco wametoka walizidisha kujidai na ngebe za kombe la dunia. Mara ooh yale mafanikio ni ya waarabu pekee. Shenzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…