Yaani hadi cameroon leo hii inadharaulikaMbona Ghana umeiacha au sio timu kubwa
Waambie hao waarabu koko wenzio waende wakashiriki kwao ulayaRefs kawaonea sana
Watumie salamu za poleMpira wa Morocco na Senegal bado ni mzur
Nimeumia
Naona final ni South Africa na Nigeria.Mwenyeji Ivory coast, South Africa, Nigeria, Mali na Congo pia ni Ma Giant wa soka la Africa.