Morocco watoka sare 1-1 na Congo

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Kundi F linazidi kunoga. Morocco watoka sare na DR Congo 1-1 na kufanya kundi F lizidi kuwa gumu.

Goli la Morocco lilifungwa na Hakimi huku goli la kufutia machozi la Congo likifungwa na Katompa.

DR Congo walikosa penati baada ya beki Inonga kupigwa kiwiko ndani ya box la Morocco.

Msimamo wa Kundi F upo hivi
 
Goli la kufutia machozi la Congo? Uandishi mwengine bana. Halafu huyu mara utamkuta ndio mhariri wa gazeti la kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…