Morocco wawasha moto

Nani atafuata? Hahahhahaaa kuna nchi ambayo ni tokeo la kuungana kwa nchi mbili na ina serikali mbili tu, upande mmoja hauna serikali! Halafu hio nchi watu wa upande wa pili ambao wao wana serikali ni walalamishi kupita maelezo, halafu viongozi wa umoja huo wanaongoza kwa kusafiri nje ya nchi hata kwene mialiko ya kufungua vi-NGO, watu wake ni wapole kiasi cha kua wajinga! Ukishaibaini nchi hio ndio itakua jibu ya swali lako
 
cleopa david msuya kishatabiri jana ni tanzania
 
kwanini wasilianzishe Saudia, tuone Mmarekani atakuwa upande wa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…