Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Umaskini wa akili ni mbaya saaana.
Senegal hana hata klabu moja kwenye top 50 ya CAF ranking ila inapokuja timu ya taifa hawajaanza leo kuhenyesha magiant siyo tu wa Africa ila hata wa dunia. Juzi juzi tu hapa wamemfunga England. Wameshashiriki Kombe la Dunia mara 3 ikiwemo kufika robo fainali.
Leo unajilinganisha nao na unatamba kabisa? Eti nini ya mtume? Aiseeeeeee
Da aisee kwa hiyo ni haki TZ kufungwaRangi ya Mtume sio poa kabisa, leo wamewaondoa Senegal kwa Penati.
Ndio maana kwenye mechi na Taifa langu sikuwa na sababu ya kumlaumu mtu, mlima mrefu ule
Wacha Mungu wale jamani, kalagabaho
Umaskini wa akili ni mbaya saaana.
Senegal hana hata klabu moja kwenye top 50 ya CAF ranking ila inapokuja timu ya taifa hawajaanza leo kuhenyesha magiant siyo tu wa Africa ila hata wa dunia. Juzi juzi tu hapa wamemfunga England. Wameshashiriki Kombe la Dunia mara 3 ikiwemo kufika robo fainali.
Leo unajilinganisha nao na unatamba kabisa? Eti nini ya mtume? Aiseeeeeee
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi.Una maana kwamba mleta mada alikosa lishe kutokana na umasikini akadumaa kiakili?