Morogoro a sleeping giant

Umekosa dem wa kumalizana nae usiku kutokana na udomozege wako unaanza kulalamika,upo Morogoro ipi weyee chadomo?
 
Kama mademu wa samaki samaki wamemshinda aende ata kaumba
Imagine mji wa zamani Kama huu Maeneo ya burudani mnataka mawili tuu samaki2 na kahumba namimi naongezea mbili Kuna hii hapa round about na ile terminal pub na kule nyuma zaidi ya hapo Moro hamna kitu Yani mji mzima mnapub tano tu wilaya kibao zinawafunika.
 
Ogopa sana mahali ccm INA nguvu huwa watu hawanaga akili Fanya utafitinutaona njoo wilaya ya mwanga utaona
 
Morogoro is a sleeping giant
Such a town to sleep at 10:40 is an absurd yet you want to be awarded city status! Noooo big nooo
Utakuwa ulikosa sehemu ya kugida saa nne usiku, ila ujue Moro kuna wezi wengi kama kunguni kwenye kitanda cha kamba.
 
Mtoa uzi upo sahihi, nimesoma SUA miaka mitatu,aisee Moro wanalala mapema sana.
 
Kuna na wezi wengi sio sifa nzuri.
Nayo ni sifa, kuna sifa nzuri na sifa mbaya, kutokana na sifa ya wezi watu na wafanyabiashara hujifungia majumbani mapema. Hakuna kitu ambacho hakikunifurahisha kama mwendazake kuwaona mashujaa wezi wa petroli kwa kuapa pesa walionusurika na kuwajengea mnara wafu.
 
Sio wote waliokufa kwa moto ule wa Petroli walikuwa wezi,wapo ambao walikuwa ni wapita njia, wengine hawakujua nini kinaendelea wakajikuta wanadakwa na moto na kuungua, Wengine walikuwa wanashangaa tu wakadakwa nao na Moto, Binafsi sipingani nae kwasababu hatupaswi kuhukumu.
 
Mji mdogo sana ukitoka mjini ,msavu Kihonda tayari mji ushaisha


Morogoro imepooza sana ukitoa samaki samaki, star park ,vybee Kihonda sijui mnabakiwa na nini


Vyuo vikifungwa mji una pooza mno pamoja na kuwa na vyanzo vya maji vingi bado mji una shida ya maji


Waluguru washamba sana kila siku mtadanganywa na mbunge wenu yule singa mkipewa gari la misiba basi mnaona mmesaidiwa kweli


Wazawa hawataki kazi sanasana udalali na day work ya bodaboda yani unaomba trip kazaa na wewe upate elfu mbili


Kule wezi wengi hasa mafiga ,Sua vibanda ni kipindi kile walikuwa wanatupiga kabali wanachuo ..plus wala unga wengi mitaa ya Manzese .. halafu Morogoro single mother wengi wanawake wa Morogoro ni kama kuku wa kienyeji ujanja wako tu hata kama ameolewa


Maduka yanawahi kufungwa na yanachelewa kufunguliwa tena hasa mjini hivi kweli mko serious na kazi ?
Omba omba usiombe ...mara Oya dogo nitoe buku basi ..mara nitoe elfu mia tano ..
Mkoa wa hovyo sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaijua vizuri morogoro
 
Ushawahi kwenda tanga wewe
 
Taja huko kwenu Moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…