Pre GE2025 Morogoro: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Pre GE2025 Morogoro: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

1. Assenga Abubakar Damian - MBUNGE WA KILOMBERO


Assenga Abubakar.png

Uchaguzi

Jimbo: Kilombero, Morogoro
Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kura: 51,452 (2020)

Elimu

Shule ya Msingi Madukani (1991-1997)
Cheti cha Ufundi Magari, Ifakara Technician Institute (1998-2000)
Matangani Seminary DSM - Kidato cha Nne (CSEE) (2005)
Midlands High School DSM - Kidato cha Sita (ACSEE) (2008)
Diploma in Economic Development, Open University of Dar es Salaam (2008-2010)
Certificate in Laws, University of Dar es Salaam (2012-2013)
Bachelor of Arts in Political Science & Economics, Open University of Dar es Salaam (2013-2015)

Uzoefu wa Kazi

Katibu wa Wilaya ya Kimara
Mwenyekiti wa tawi la CCM MNMA
Mkurugenzi wa TAYODEO
Katibu Tawala wa Wilaya (DAS) Rombo

Michango Bungeni

Maswali ya Msingi: 18
Maswali ya Nyongeza: 54
Maswali kwa Waziri Mkuu: 2



2. Antipas Zeno Mgungusi - MBUNGE WA MALINYI

Antipas .png

Uchaguzi

Jimbo: Malinyi, Morogoro
Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kura: 37,485 (2020)

Elimu
Masters of Business Administration (MBA) in Corporate Management, Mzumbe University (2011-2013)
Bachelor of Arts in Cultural Anthropology and Tourism, Tumaini University (2005-2008)
ACSEE, Tegeta High School & CSEE, Udzungwa Secondary School
Shule ya Msingi Lugala (1992-1998)

Uzoefu wa Kazi

Conservation Officer, Hifadhi za Taifa za Kilimanjaro na Ruaha (2013-2020)
Tourism Promotion Officer, Wizara ya Maliasili na Utalii (2009-2013)

Michango Bungeni
Maswali ya Msingi: 16
Maswali ya Nyongeza: 14
Jumla ya Michango: 12

Kuingia Kwenye Siasa
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM (2017-2022)
Kamati Kuu ya CCM Mkoa wa Morogoro
Kamati ya Utekelezaji Umoja wa Vijana CCM (2008-2012)



3. Dennis Lazaro Londo - MBUNGE WA MIKUMI

denis londo.png

Uchaguzi

Jimbo: Mikumi, Morogoro
Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kura: 51,452 (2020)

Elimu

Diploma Certificate in Forestry and Environment Management, Kuru College of Forestry, Finland (2000-2002)
Bachelor of Social Services, Laurea University of Applied Science, Finland (2003-2005)
MSc in Development and International Relations, Aalborg University, Denmark (2006-2008)
MSc in International Social Work, University of Gothenburg, Sweden (2007-2008)
PhD, Eastern Finland University (2012-Present)

Uzoefu wa Kazi

Technical Advisor on Alternative Development Policies, International Cooperation for Cambodia (2013-2016)
Lecturer in Social Services Degree Programme, DIAK University of Applied Science (2009-2013)
District Executive Director, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (2016-2018)
Coordinator for Civil Societies Organization (2018-2020)

Michango Bungeni
Kamati: Kamati ya Utawala na Mambo ya Serikali za Mitaa (2021-2023)
Jumla ya Michango: 12

Ushiriki katika Siasa

Mwanachama wa CCM
Katibu wa CCM Finland Branch (2002-2005)
Katibu wa CCM Youth Wing, Mafiga (1994-1998)



4. Abdulaziz Mohamed Abood - MBUNGE WA MOROGORO MJINI


Abood.png

Uchaguzi

Jimbo: Morogoro Mjini
Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kura: 171,349 (2020)

Elimu

Shule ya Msingi Bungo (CPEE, 1972)
Forest Hill Secondary School (CSEE, 1976)

Uzoefu wa Kazi

CEO, Abood Group of Companies (1977-2020)
CEO, Board of the TOT Party (1997-2000)
Director of Companies (1984-2020)

Michango Bungeni

Jumla ya Michango: 4
Maswali ya Msingi: 6
Maswali ya Nyongeza: 10
Maswali kwa Waziri Mkuu: 1

Ushiriki katika Siasa

Mwanachama wa CCM tangu 2000
Mjumbe wa Kamati za CCM, National Executive Council (2006-Present)
Member of the Regional Political Committee (2012-Present)



5. Salim Alaudin Hasham - MBUNGE WA ULANGA

Sam Alaudin .png

Uchaguzi

Jimbo: Ulanga
Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kura: 32,613 (2020)

Elimu

Shule ya Msingi Mahenge (CPEE, 2000)
Kwiro Secondary School (CSEE, 2004)

Uzoefu wa Kazi

CEO, Ruby International Ltd (2014-Present)

Michango Bungeni

Jumla ya Michango: 4

Ushiriki katika Siasa

Mwanachama wa Jumuiya ya Wazazi CCM (Tangu 2008)
 
Wote elimu za kuunga unga
Hilo Halina Sehemu Limeacha Shaka Yoyote
Janja Janja Primary School Imefaulisha Wanafunzi Wote Lakini
Hawajui Kusoma Na Kuandika (KK Mbili)
 
Back
Top Bottom