Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Diwani wa CCM kata ya Uwanja wa Taifa mjini Morogoro, Rashid Matesa ajeruhiwa baada ya kupigana na mwenyekiti wa CCM kata hiyo, Athumani Mswagala kwenye kikao cha chama kwa kinachodaiwa kupinga hoja ya mwenyekiti wake kutaka viongozi wawili wajadiliwe kutokana na utovu wa nidhamu