Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hahahaha hahahaha hahahahaMiaka 50 ya CCM madarakani bado tunaamini kuwa Kaka kuona ni mwarubaini wa matatizo yetu!
Ndiyo tabia zenu matagaKatika dunia hii ya sayansi bado kuna misukule inaamini hawa wadudu eti wanaleta neema .DC mzima na kadegree kake ametoka ofisini anakimbilia kumuona mdudu eti atabiri na kuacha wanasayansi wenye utafiti
USSR
😊Mnyama Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ambapo viongozi wa kimila na kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwaka huu.
Walimuwekea zana za kimila, zana za umeme na vifaa vingine ambapo alipita kati ya unga na maziwa hali iliyoonekana kuwa ishara ya neema kwa mwaka 2021.
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Albinus Mgonya amesema mbali na imani kuwa msimu utakuwa mzuri, amewataka wananchi wazingatie kilimo bora kwa kuzingatia sheria za kilimo.
Ila mkuu wa wachawi jf Mshana Jr si alikua upande wenuNdiyo tabia zenu mataga
Mnaamini bila ushirikina hamtoboi uchaguz hadi Mambo ya maisha mnategemea dadakuona siku hiyo ameonaje
🤣🤣🤣🤣Umefikilia nini mpambanajiAngekua dadakuona angepita kwenye waleti
Mawazo ya uchumi wa kati.....🤣🤣🤣🤣Umefikilia nini mpambanaji
Nchi ya ajabu sana hii, inaongozwa na kakakuona😂🤣😂😲😲Mnyama Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ambapo viongozi wa kimila na kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwaka huu.
Walimuwekea zana za kimila, zana za umeme na vifaa vingine ambapo alipita kati ya unga na maziwa hali iliyoonekana kuwa ishara ya neema kwa mwaka 2021.
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Albinus Mgonya amesema mbali na imani kuwa msimu utakuwa mzuri, amewataka wananchi wazingatie kilimo bora kwa kuzingatia sheria za kilimo.
Ni kweli kabisa, tulikuwa site 1 hapo mjini, kwa siku hiyo 1, vijana wakisafisha, tuliona kobe mdogo, nyoka kifutu mkubwa, khanga, na nyoka black mamba...nikasitisha zoezi, wakamwaga mafuta na kupiga moto, wangeendelea labda wangekuta na kakakuona!Moro kakakuona wengi sana. Niwahi muona hapo hospitali ya mkoa. Wazee wa siku hizi hawana umila wowote, wapigaji tu.
Nashukuru Mungu hajaonekana Chato. Tungekoma walah!!Miaka 50 ya CCM madarakani bado tunaamini kuwa Kaka kuona ni mwarubaini wa matatizo yetu!
Hao ndio wanasiasa na viongozi wasomi tunaowategemea kutatua kero zetu.Nchi ya ajabu sana hii, inaongozwa na kakakuona😂🤣😂😲😲