Kingolwira Morogoro Tanzania
Ni Unapotoka Mkambalani Ikiwa Unatokea Dar Es Salaam
Ni Mwanzo Wa Manispaa Ya Morogoro, Maji Yapo Ila Kuna Nyakati Shida Hayapatikani
Hapo Kuna Shule Ya Msingi, Kituo Cha Afya Ambacho Kinalaza Wagonjwa Na Huduma Nyingine. Mahakama Ya Mwanzo Ipo Hapo, Kituo Cha Police
Kutoka Hapo Huduma Ya Daladala, Na Coaster Toka Dar Es Salaam, Ardhi Yake Kuna Maeneo Ni Udongo Mwekundu, Ni Kata Hiyo Kwa Upande Wa Utawala
Mpaka Junior Seminary, Cate Hotel, Tafori
Kituo Cha Kupokea Umeme Wa SGR Kipo Hapo Eneo La Pangawe Pia Kuna Barabara Ya Kwenda Kisaki Kwenye Bwawa La Mwalimu Nyerere
Gereza La Wanawake, Mkono Wa Mara