Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mama kapata changamoto ya Afya ya Akili!Duuh Pole yakeWakuu
Hali ya sintofahamu imeibuka eneo la Forest Hill, mjini Morogoro baada ya kifo cha binti Irene Joseph Akaro (30), ambapo mama wa marehemu ametaka mwili kupelekwa Kanisa la Kipentekoste la Ufufuo na Uzima ili aombewe ili afufuke, huku ndugu upande wa baba mzazi ukitaka taratibu za maziko ziendelee kwa imani ya Kikatoliki na mwili usafirishwe kwenda Moshi kwa maziko au mchungaji afike nyumbani kwa maombi hayo wanayoamini ya ufufuo.
View attachment 3207773
siku za Mwisho zimekaribiaWakuu

hivi ile 1/4 kuwa kichaa namba hazijabadilika?Matatizo ya akili hayo
Wakuu
Hali ya sintofahamu imeibuka eneo la Forest Hill, mjini Morogoro baada ya kifo cha binti Irene Joseph Akaro (30), ambapo mama wa marehemu ametaka mwili kupelekwa Kanisa la Kipentekoste la Ufufuo na Uzima ili aombewe ili afufuke, huku ndugu upande wa baba mzazi ukitaka taratibu za maziko ziendelee kwa imani ya Kikatoliki na mwili usafirishwe kwenda Moshi kwa maziko au mchungaji afike nyumbani kwa maombi hayo wanayoamini ya ufufuo.
View attachment 3207773
🤣🤣🤣 Aiseee kunakaz kubwa ya kumtowa ujinga uyo mamaWakuu
Hali ya sintofahamu imeibuka eneo la Forest Hill, mjini Morogoro baada ya kifo cha binti Irene Joseph Akaro (30), ambapo mama wa marehemu ametaka mwili kupelekwa Kanisa la Kipentekoste la Ufufuo na Uzima ili aombewe ili afufuke, huku ndugu upande wa baba mzazi ukitaka taratibu za maziko ziendelee kwa imani ya Kikatoliki na mwili usafirishwe kwenda Moshi kwa maziko au mchungaji afike nyumbani kwa maombi hayo wanayoamini ya ufufuo.
View attachment 3207773
sureMatatizo ya akili hayo
Hawa manabii feki wameharibu sana watu, hususani akina mama. Kuna mama mmoja aliugua brucellosis kama ilivyo bainishwa na madaktari, lakini ndg wa huyo mama hususani mama yake mzazi na dada yake mgonjwa walikataa katakata huyo mama kutibiwa hospital wakadai wampeleke kwa Mwamposa ili aombewe apone. Kidogo huyo mama akate kamba. Bahati nzuri mgonjwa alijiongeza na kurudi kuendelea na dawa za hospital, hadi sasa ni mzima wa afya.Wakuu