Pre GE2025 Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Pre GE2025 Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.

1729434139369.jpeg

Ramani ya Mkoa wa Morogoro

HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO
Mkoa wa Morogoro upo katika ukanda wa mashariki mwa Tanzania, ukijulikana kwa uzalishaji mkubwa wa mazao ya kilimo kama vile miwa, mpunga, mahindi, na katani. Mkoa huu pia ni maarufu kwa kuwa na Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii. Morogoro ina historia ya kuwa moja ya vituo muhimu vya biashara tangu enzi za ukoloni wa Wajerumani na Waingereza. Ukanda wa reli ya TAZARA unaunganisha mkoa huu na nchi za Zambia na maeneo mengine ya Tanzania, ukiwa ni njia muhimu ya usafirishaji wa bidhaa.

HALI YA KISIASA
Mkoa wa Morogoro una jumla ya majimbo kumi na moja (11) ambayo yote yana wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mujibu wa uchaguzi mkuu wa 2020.

MAJIMBO YA MKOA WA MOROGORO
  • Jimbo la Kilosa​

  • Jimbo la Mikumi​

  • Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki​

  • Jimbo la Morogoro Kusini​

  • Jimbo la Morogoro Mjini​

  • Jimbo la Mlimba​

  • Jimbo la Kilombero​

  • Jimbo la Ulanga​

  • Jimbo la Malinyi​

  • Jimbo la Mvomero​

  • Jimbo la Gairo​


UPDATES​

Gerson Msigwa: Serikali yawahakikishia wananchi Uchaguzi Huru na wa Haki 2025
Dkt. Ashatu Kijaji : Agawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani Morogoro
Morogoro: Mbunge Abood, amegusa maisha ya Wananchi kwa Miradi ya Maendeleo

MATUKIO YANAYOJIRI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MOROGORO
- LGE2024 - Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Januari
  1. Babu Tale: Kuna vijiji 64 kwenye jimbo langu na hakuna kijiji ambacho hakina umeme
  2. CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao
  3. Morogoro: CCM Mzumbe kufanya matembezi na dua kuwaombea Rais Samia na Rais Mwinyi kwaajili ya Uchaguzi 2025
  4. Mbunge Abood ashiriki kuchimba barabara na Wananchi kwa majembe ya mkono
  5. Mwenyekiti wa CCM Morogoro awapiga biti kali wagombea walioanza kampeni kabla ya muda uliopangwa

Februari
  1. CCM Morogoro waonyana tabia ya makada kuanza kampeni kabla ya muda elekezi. Mjumbe wa kamati kuu atoa neno
  2. Mbunge wa Ulanga: Hata nisiposhinda Uchaguzi mwaka huu, Rais Samia lazima ashinde
  3. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo lapendekeza Kuvunjwa kwa Mkataba wa Mkandarasi wa Mradi wa Umwagiliaji Mgongola
  4. Waziri wa madini apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo
  5. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuanza kuandikisha wananchi wa Morogoro kuanzia Machi 1. Wapigakura 302,752 watarajiwa kuandikishwa!
  6. Picha: Tume Huru ya Uchaguzi yatinga mtaa kwa mtaa mkoani Morogoro kuhamasisha wananchi kujiandikisha
Machi
  1. Vijana Kilosa waitwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura
  2. Morogoro: Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linaendelea, Tume yasema muitikio wa wananchi ni mkubwa
  3. Pre GE2025 - CCM Mvomero: Kugombea siyo nafasi za wanaume pekee
  4. Pre GE2025 - Polisi yaonya wanaotaka kuvuruga amani kipindi cha uchaguzi
 

Attachments

Back
Top Bottom