A
Anonymous
Guest
Duka vocha za tsh 500/= zinauzwa tsh 600/= na zile zenye thamani ya 1,000/= zinauzwa kwa 1,200/=.
Jambo ambalo limetokana na ukweli kwamba tunaoishi hapa kwa asilimia kubwa ni jamii ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine hivyo wenye maduka kutumia fursa hiyo kuongeza bei za vitu kiholela.
Naomba mamlaka inayohusika kulishughulikia suala hili maana ni maeneo mengi yenye shida hiyo.