Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hakuna fire hapo,au ndio Yale Yale ya Kariakoo?
U mean kawasha moto kaondoka au? Ama angekuwepo na moto ukawaka angekuwa na jukumu la kuuzima yeye?Mwenye nchi kaacha kwake kunawaka moto kakimbilia kwa jirani tukisema tunaambiwa tunampinga kwa sababu ni mwanamke. Je hiyo ni halali kweli?
Ukiwa baba au mama wa familia alafu nyumbani kwako kukatokea matatizo utayaacha hayo matatizo familia iteketee na kwenda kula urabu kwa jirani?U mean kawasha moto kaondoka au? Ama angekuwepo na moto ukawaka angekuwa na jukumu la kuuzima yeye?
Ukiwa baba au mama wa familia alafu nyumbani kwako kukatokea matatizo utayaacha hayo matatizo familia iteketee na kwenda kula urabu kwa jirani?
Upuuzi upi?HIZI NI HUJUMA AU?
mbona majanga yanazidi kila kukicha?
Enzi Za JP.
Upuuzi mwingi tulikuwa tumeusahau!
Tulibaki kulia na mambo madogo sana (Inshu za wanasiasa)
Lakini, Maisha Yalienda Vizuri pasi na Shida!
Huyu Mama Huyu???
Apumzike motoniYaani mama kutoka tu kwenda Rwanda wameanza tena kumpima, huu upuuzi ulikuwa hausikiki enzi za Hayati John Pombe Magufuli...
Jemedari wa ukweli wa Afrika apumzike kwa amani...
Wewe ni sukuma gang, japo kwa sasa hata mimi nina wasiwasi na mamaUkiwa baba au mama wa familia alafu nyumbani kwako kukatokea matatizo utayaacha hayo matatizo familia iteketee na kwenda kula urabu kwa jirani?
Hakuna fire hapo,au ndio Yale Yale ya Kariakoo?