Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni.
Kwangu mimi mwanza,mpanda na Morogoro bila kukosa kahama nawapenda sana I feel like home japo Mimi ni mzaliwa wa mtwara ila sehemu tajwa hapo juu it is second home.
Kwangu mimi mwanza,mpanda na Morogoro bila kukosa kahama nawapenda sana I feel like home japo Mimi ni mzaliwa wa mtwara ila sehemu tajwa hapo juu it is second home.